Polisi wa jijini la Manchester wanafanya uchunguzi kuhusiana na tuhuma za mshambuliaji Mario Balotelli kuhusu kutumia nguvu kupita kiasi kumzuia mama mmoja kupiga picha gari lake.
Imeelezwa Balotelli alizungumza kwa ukali baada ya kumkuta mama huyo akipiga picha gari lake.
Kitu hicho kimeonekana si sawa na polisi inaendelea na uchunguzi kujua ukweli. Balotelli alikuwa katika eneo hilo alipokwenda kumtembelea mama yake mzazi, Rose Baruwah.
Balotelli alilisafirisha gari lake hilo kutoka Italia hadi England, siku chache baada ya kujiunga na Liverpool.

0 COMMENTS:
Post a Comment