October 26, 2014

MTIBWA SUGAR
Mbeya City imekiona cha moto baada ya kuchapwa mabao 2-0 nyumbani kwao Sokoine mjini Mbeya.

Mtibwa Sugar wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao hayo mawili ugenini.
Wafungaji ni Ali Amer na mkongwe Vicent Barnabas.

Kwa ushindi huo, tayari Mtibwa Sugar imezifunga timu kubwa mbili, ikianza na Yanga wakati wa ufunguzi wa ligi iliyoishinda kwa mabao 2-0.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic