Shirikisho
la Soka Tanzania (TFF) leo (Oktoba 8, mwaka huu) linaadhimisha miaka
50 ya kujiunga na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).
Katika kuadhimisha siku hii TFF ilipanga kufanya tafrija fupi ya kuwaenzi wale wote waliotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania katika kipindi hicho cha miaka 50.
Hafla
hii itafanyika katika siku nyingine itakayopangwa. Orodha kamili ya watunukiwa
imeambatanishwa hapa.








Katika orodha hiyo ya watakaotunukiwa yamo majina ya Ndumbaro na Saleh Ally!
ReplyDelete