October 8, 2014


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo (Oktoba 8, mwaka huu) linaadhimisha miaka 50 ya kujiunga na Shirikisho la Soka la Kimataifa  (Fifa).

Katika kuadhimisha siku hii TFF ilipanga kufanya tafrija fupi ya kuwaenzi wale wote waliotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania katika kipindi hicho cha miaka 50.

Hafla hii itafanyika katika siku nyingine itakayopangwa. Orodha kamili ya watunukiwa imeambatanishwa hapa.



1 COMMENTS:

  1. Katika orodha hiyo ya watakaotunukiwa yamo majina ya Ndumbaro na Saleh Ally!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic