Devante Cole 19, Man City, (mtoto
wa Andy Cole)
Diego Poyet, 19, West Ham (mtoto
wa Gus Poyet)
Niall Keown, 19, Reading (mtoto
wa Martin Keown)
Jack Barmby, 19, Leicester
City (mtoto wa Nick Barmby)
Ianis Hagi, 16, Vitorul
Constanta (mtoto wa Gheorghe Hagi)
Justin Kluivert, 15, Ajax (mtoto
wa Patrick Kluivert)
Christian Maldini, 18, AC
Milan (mtoto wa Paolo Maldini)
Rivaldinho, 19, Mogi Mirim (mtoto
wa Rivaldo)
Romarinho, 20, El Jaish (mtoto
wa Romario)
Giovanni Simeone, 19, AC
Milan (mtoto wa Diego Simeone)
Joe van der Sar, 16, Ajax (mtoto
wa Edwin van der Sar)
Enzo Zidane, 19 na Luca
Zidane 16-Real Madrid (watoto wa Zinedine Zidane)
MTOTO WA ZIDANE.. |
MTOTO WA KLUIVERT... |
MTOTO WA VAN DER SAR... |
MTOTO WA PAOLO MALDIN... |
MTOTO WA ROMARIO (KULIA)....WAKO WAPI WATOTO WA KINA NANIHII.... |
Yupo mtoto wa Julio anakipiga uarabuni,Mtoto wa Abubakar Salum anakipiga Azam,Mtoto wa Ridhaa Hamis anakipiga Azam,Mtoto wa Manyika Peter anakipiga Simba Sc,Mtoto wa Ally Saleh Metodo anakipiga Global sc na wengine wengine wengi sana.
ReplyDeleteTatizo hapa bongo hakuna waandishi wa habari ila kuna wachumia tumbo(breadeater) ndio maana kufatilia wachezaji hawawezi zaidi ya majungu,chuki na fitina tuu!