Baada ya kusuasua nyumbani na ugenini katika Ligi Kuu England, leo Liverpool imeamka ikiwa Anfield na kushinda kwa bao 1-0 dhidi ya timu kisiki ya Stoke City.
Pamoja na juhudi za kila mchezaji akiwemo nahodha Steven Gerrard aliyeingia akiwa anatimiza miaka 16 na Liverpool, lakini shukurani ziende kwa beki wa kulia Glen Johnson.
Johnson ndiye aliyetoa 'gundu' la Liverpool kwa kufunga bao hilo pekee.
0 COMMENTS:
Post a Comment