November 23, 2014


Manny Pacquiao amemtandika Mmarekani, Chris Algieri kwa pointi 119-103, 119-103, 120-102, katika pambano la raundi 12.

Katika pambano hilo lililopigwa Macau, Kusini Mashariki mwa bara la Asia, Manni ndiye alitawala kuanzia mwanzo.
Mara kadhaa, Aligieri alilazimika kukaa chini kutokana na ukali wa makonde.
Algieri ambaye ni daktari, alionyesha cheche zake katika baadhi ya raundi lakini mwisho alionekana kuzidiwa na mziki wa mkali huyo







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic