December 15, 2014


Mcheza tenisi namba moja duniani, Serena Williams ameanza mazoezi kujiandaa na msimu ujao kwa kufanya michango.


Serena alifanya hivyo katika mbio maalum zilizofanyika Florida Miami, Marekani na fedha zilizochangishwa wakati wa mbio hizo zilikwenda kwenye Serena William Fund.

Watu mbalimbali walijitokeza kukimbia kilomita tano pamoja na robo Marathoni.
Mmoja wa waliojitokeza ni dada yake, Venus William.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic