December 12, 2014

Wakati Yanga imehamishia kambi yake katikati ya jiji la Dar es Salamaa karibu na Ikulu, Simba nayo imerejea jijini Dar kimyakimya.

Simba iliyokuwa imeweka kambi Zanzibar, imerejea Dar kwa ndege maalum za kukodi.

Tayari imeanza kambi yake ya siku mbili jijini Dar es Salaam ambayo imeelezwa kuwa ni maficho.

Yote hayo ni maandalizi ya mechi ya Bonanza la Nani Mtani Jembe kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic