![]() |
| SSERUNKUMA AKIWA NA RAIS WA SIMBA, EVANS AVEVA SIKU ALIYOSAINI MKATABA. |
Mshambuliaji mpya wa Simba, Danny Sserunkuma
raia wa Uganda tayari ametua jijini Dar es Salaam.
Sserunkuma yuko kwenye Uwanja wa Chamazi
jijini Dar es Salaam akishuhudia mechi ya kirafiki kati ya Simba dhidi ya Mtibwa
Sugar.
Mshambuliaji huyo anatarajiwa kuanza kazi
kesho rasmi baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea akitokea Gor
Mahia ya Kenya








0 COMMENTS:
Post a Comment