January 26, 2015


Kikosi cha African Sports kimeshinda kwa bao 1-0 dhidi ya Majimaji na sasa ni pointi moja tu kurejea Ligi kuu Bara.


African Sports inayodhaminiwa na kampuni ya Bin Slum Tyres Ltd imepata ushindi huo muhimu leo kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Mkwakwani mjini tanga.

Mechi ijayo itakuwa ni dhidi ya JKT Mlale na iwapo watapata ushindi basi watakuwa wamejihakikishia kupanda daraja.


African Sports wana pointi 41 na wanafuatiwa na Majimaji yenye pointi 35 na Lipuli ina pointi 35 na kila timu kati ya hizo zimebakiza mechi tatu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic