Ancelotti amesema licha ya Ramos kupona
vizuri, bado anahitaji kumuona akiwa fiti zaidi, hivyo hatamtumia.
Amsema kumtumia Ramos katika mechi za La
Liga wikiendi, ni sawa na kukubali kumuumiza zaidi.
“Sasa atapumzika kwanza, lakini tayati yuko
fiti,” alisema.
Kuumia kwa Ramos, kulizua hofu kwa mashabiki
wa Madrid kwa kuwa awali ilielezwa anaweza kukaa nje muda mrefu.
0 COMMENTS:
Post a Comment