Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri ametua salama kwao Zambia na kusema; ‘Namshukuru Mungu”.
Phiri amesema amekuta familia yake inaendelea vizuri na tayari ameanza maisha mapya.
“Nimefika salama nyumbani, wote hapa wanaendelea vizuri na hilo ndiyo jambo jema kabisa,” alisema Phiri.
Kocha huyo amefutwa kazi Simba na nafasi yake imechukuliwa na Goran Kuponovic raia wa Serbia.
0 COMMENTS:
Post a Comment