PAMOJA NA KUWA BARCELONA WAMEIBUKA NA USHINDI WA MABAO 3-1 KATIKA COPA DEL REL DHIDI YA ATLETICO MADRID, MCHEZAJI AMBAYE HATASAHAU ADHA YA VIATU VYA WACHEZAJI WA ATLETICO NI NEYMAR.
WAKATI FULANI ALILAZIMIKA KUTOLEWA NJE BAADA YA KUTANDIKWA KIATU HADI DAMU ZIKAJAA KWENYE SOKSI YAKE. ANGALIA MWENYEWE...!!!
WAKATI FULANI ALILAZIMIKA KUTOLEWA NJE BAADA YA KUTANDIKWA KIATU HADI DAMU ZIKAJAA KWENYE SOKSI YAKE. ANGALIA MWENYEWE...!!!
0 COMMENTS:
Post a Comment