January 11, 2015


Mpira una raha yake aisee! Timu ya Bastia ikiwa nyumbani imeibuka na ushindi mnono wa mabao 4-2 katika League 1 dhidi ya vigogo PSG.


PSG inayoongozwa na nyota Zlatan Ibrahimovic na safu ya ulinzi chini ya beki Fellipe Luiz ilishindwa mikiki ya timu hiyo na kulala bao hizo, hali iliyowashangaza wengi.

Bastia: Areola; Cioni, Squillaci, Modesto, Marange, Palmieri, Cahuzac, Romaric (Keita 65), Gillet; Boudebouz, Maboulou (Peybernes 87)
Subs not used: Leca, Ongenda, Cisse, Vincent, Djiku
Goals: Modesto (45), Boudebouz (Pen 32), Palmieri (56, 89)
Bookings: Boudebouz, Gillet, Palmieri
PSG: Douchez; Thiago Silva, Maxwell, Van der Wiel, David Luiz, Cabaye (Verratti 55), Lucas Moura, Matuidi (Bahebeck 70), Rabiot, Pastore, Ibrahimovic
Subs not used: Maignan, Marquinhos, Camara, Digne, Kimmakon
Goals: Lucas Moura (10), Rabiot (20)
Bookings: Luiz






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic