HOFU YA KOBE BRAYANT KUKOSA MSIMU MZIMA NBA YAIBUKA Nyota wa kikapu, Kobe Bryant huenda akakosa msimu wote wa NBA uliobaki. Hofu hiyo inatokana na nyota huyo wa LA Lakers kutakiwa kufanyiwa upasuaji baada ya kuumia bega. Upasuaji huo unatarajiwa kufanyika leo mjini Los Angeles Lakers, Marekani.
0 COMMENTS:
Post a Comment