January 27, 2015


Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amesema atajua zaidi kuhusiana na hali yake hapo baadaye.


Okwi amesema atajua kuhusiana na hali yake angalau baada ya kuanza mazoezi.

"Najisikia vizuri kwa sasa. Ila nikianza mazoezi nitajua vizuri zaidi," alisema Okwi.

Okwi alianguka na kuzimia baada ya kugongwa na beki Aggrey Morris wa Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyoisha kwa sare ya bao 1-1.

Mshambuliaji huyo raia wa Uganda anatarajia kuanza mazoezi leo akiwa na kikosi chake cha Simba.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic