January 17, 2015


Hadi sasa ni mapumziko mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Yanga ndiyo wamepoteza nafasi nyingi zaidi kupitia Simon Msuva, Andrey Coutinho na Amissi Tambwe.

Mechi ilitawaliwa na ubabe katika dakika za mwanzo, wachezaji wakisukumana huku wachezaji wa Shooting wakimvamia mwamuzi kila mara kulalaimika.


Mwishoni, yaani dakika ya 45 kukiwa na dakika 5 za nyongeza, Yanga walipata kona tano ambazo hazikuwa na matunda.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic