January 18, 2015


Yanga wametokea kwenye tundu la sindano katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting.


Hayo ni maneno ya msemaji wa timu hiyo ya jeshi, MAsau Bwire ambaye amesema wanapaswa kumshukuru Mungu angalau kwa sare.

"Ni kweli, uliona soka la kikosi changu. Uliona vijana walivyoonyesha wachezaji wa hapa nyumbani wanavyoweza kuwa hatari.

"Lakini wana kila sababu ya kumshukuru Mungu, Yanga walikuwa wamekwisha," alisema Bwire.

Yanga ilimaliza kwa sare ya bila mabao dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Taifa, jana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic