January 18, 2015


Deontay Wilder sasa ndiyo gumzo kwa mabondia wanaoonekana kuwa tishio katika uzito wa juu katika ngumi za kulipwa.


Amefanikiwa kumchakaza mpinzani wake Bermane Stiverne kwa pointi katika mechi iliyopigwa kwenye jiji la Las Vegas, Marekani.


Katika pambano hilo la ubingwa wa juu wa WBC, alishinda kwa pointi 118-109, 119-108 na 120-107, lakini kwa uwezo aliuonyesha. Basi wakali wengine wakae chonjo.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic