January 1, 2015

Aliyekuwa kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri, aliwaaga wachezaji wake kwa mara ya mwisho kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar.


Phiri aliwaaga wachezaji wake mara baada ya kusikia taarifa za kufutwa kazi na Mserbia, Goran Kopunovic kuchukua kibarua chake.

Alizungumza na wachezaji wake kwa takribani dakika kadhaa, kabla ya kuondoka zake na hiyo ndiyo ilikuwa ni mara ya mwisho kuzungumza na wachezaji hao kwa pamoja. Maana sasa wako Zanzibar naye alibaki jijini Dar.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic