SIMBA WAKISHANGILIA KWA FURAHA KUBWA BAO PEKEE DHIDI YA MAFUNZO. MFUNGAJI WA BAO HILO, SAID NDEMLA AKIWA AMEPIGA MAGOTI. SIMBA ILISHINDA BAO 1-0 NA KUAMSHA MATUMAINI KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI BAADA YA KUWA IMEANZA KWA KIPIGO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA MTIBWA SUGAR.
0 COMMENTS:
Post a Comment