Didier Drogba amepewa tuzo ya mchango wake katika soka.
Chama hicho cha FWA kimempa tuzo hiyo Drogba ambaye aliwahi
kuitwaa David Beckham na Alex Ferguson.
Drogba amesisitiza aniifurahia tuzo hiyo lakini akasema
angependa kubaki Chelsea hata baada ya kustaafu.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment