February 22, 2015

Ken Oliech ameamua kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Kenya (FKF).


Sam ni kaka wa mshambuliaji wa Ajaccio ya Ufaransa, Denis Oliech.

Kwa sasa nafasi hiyo inashikiliwa na mkongwe Sam Nyamweya ambaye amekuwa katika malumbano makubwa na wenzake.

Sam ambaye aliwahi kuwa mmoja wa mabeki gumzo nchini Kenya, amesema anaamini atachangia maendeleo ya soka kwa kusaidia mabadiliko.

“Soka la Kenya sasa linahitaji mabadiliko, linahitaji vijana, sura mpya na mawazo mapya.

“Miaka mingi sasa watu wamekuwa ni walewale na hakuna mabadiliko. Sasa ni wakati mzuri kufanya mabadiliko kwa lengo la kusaidia mpira wa Kenya,” alisema Sam.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic