February 21, 2015

Runinga maarufu ya mambo ya michezo ya SuperSport leo itaonyesha moja kwa moja mechi tatu zitakazokuwa zinachezwa katika muda mmoja.


Mechi ambazo zitakuwa zinachezwa kuanzia saa 12 jioni ni kati ya Chelsea Vs Burnley itakayoonyeshwa SuperSport 7, Crystal Palace Vs Arsenal itarushwa na SuperSport 3.

Mechi nyingine itakayokuwa inaanza muda huo ni Swansea Vs Man United ambayo itaonyeshwa na SuperSport 5.

Baada ya hapo, runinga hiyo itaonyesha moja kwa moja mechi kati ya Man City dhidi ya Newcastle United, mechi hiyo itaanza saa 2:30 usiku na kurushwa na SuperSport 3.


Saturday 21 February 2015
15:00Aston Villa v StokeVilla Park 
 
15:00Chelsea v BurnleyStamford Bridge
 
15:00Crystal Palace v ArsenalSelhurst Park
 
15:00Hull v QPRThe KC Stadium 
 
15:00Sunderland v West BromStadium of Light 
 
15:00Swansea v Man UtdLiberty Stadium
 
17:30Man City v NewcastleEtihad Stadium
 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic