February 22, 2015



 Barcelona imekiona cha moto baada ya kuchapwa bao 1-0 na Malaga.
Malaga imeshinda ikiwa ugenini Cam Nou, bao pekee lililopatikana baada ya uzembe wa beki Dani Alves.


Juan ndiye aliyefunga bao pekee kutokana na uzembe huo wa Alvez.
Juhudi za Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar kutaka kusawazisha, ziligonga mwamba.
Katika mechi ya kwanza ya La Liga zilizoka suluhu na leo hata baada ya bao la Juan katika dakika ya 7 tu, haikuonyesha hata Barcelona iko matatizoni, lakini hadi mwisho wa dakika ya 90, hawakuweza kusawazisha.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic