![]() |
| MEZZ B AKIWA AMEBEBA PICHA YA MSANII MANGWEA WAKATI WA MSIBA WA SWAHIBA WAKE HUYO. MSANII HUYO AMEFARIKI DUNIA LEO KWAO MJINI DODOMA. |
Msanii wa Bongo
Fleva, Mezz B amefariki dunia kwao mjini Dodoma.
Mezz B amefariki
dunia kwa mjini Dodoma na taarifa kutoka katika familia yake zimeeleza alikuwa
mgonjwa.
Taarifa kutoka kwa
rafiki yake wa karibu amesema Mezz B alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu lakini
hakueleza alikuwa akiugua nini.
Lakini baadaye mama yake mzazi amethibitisha kwamba alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa homa ya mapafu.








0 COMMENTS:
Post a Comment