February 22, 2015




Mpira unakwisha na Simba inalala kwa bao 1-0 ukiwa ni mchezo wake wa kwanza kupoteza nje ya Dar es Salaam.
Bao la Stand limefungwa na Mnigeria, Chiddy.

Abuu Ubwa naye analambwa kadi nyekundu
Yassin Mustapha wa Stand analambwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu hatarishi Banda.

Wenyeji Stand United wanaongoza kwa bao 1-0 hadi sasa, dakika ya 57.

Mechi inaendelea kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Hata hivyo timu zote zinashambuliana kwa zamu huku mchezo ukionekana kuwa na kasi kubwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic