March 18, 2015

Mtoto wa staa naye ni staa aisee, usianze ubishi sasa. Mfano mzuri Kai Wayne Rooney alichokifanya Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa OPld Trafford.


Man United ilikuwa inakipiga na Tottenham, Kai aliongozana na baba yake na akiwa pale uwanjani, mama mmoja shabiki akaomba Kai amsainie "autograph" kama ambavyo husaini mastaa wakubwa.

Kai wala hakubabaika, akachukua karatasi akatupia sahihi yake kama alivyonaswa na Daily Mail. Halafu akaendelea na shughuli zake. aiseee!

KAI AKIWA NA DINGI...
ROONEY, AKIWA NA MKEWE COLEEN, KAI NA MDOGO WAKE.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic