KOCHA WA AS MONACO, LEORNADO JARDIM AMESEMA KIKOSI CHAKE KIPO TAYARI KABISA KWA AJILI YA MECHI YA PILI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA ARSENAL. TAYARI ARSENAL WAMEISHATUA JIJINI MONACO, UFARANSA KWA AJILI YA MECHI HIYO WAKIWA WAMEPANIA KULIPA KISASI NA KUIBUKA NA USHINDI BAADA YA KUPOTEZA KWA MABAO 3-1 KATIKA MECHI YA KWANZA NYUMBANI AMBAYO WALIPIGWA MABAO 3-0.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment