March 17, 2015



 Bondia Manny Pacquiao amekata mzizi wa fitina baada ya kukubali kuchukuliwa damu na kupimwa.



Mpinzani wake Floyd Mayweather mara nyingi amekataa kupigana naye kwa madai huenda anatumia dawa za kuongeza nguvu.

Lakini jana amekubali kupimwa, tena ‘live’ huku runinga ya kwao Ufilipino ikionyesha.
 
Wakali hao wanakutana Mei 2, Las Vegas nchini Marekani katika pambano ghali zaidi la mchezo wa ngumi duniani.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic