March 17, 2015

Liverpool ikiwa ugenini imeifunga Swansea kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu England.

Bao pekee la Liverpool limefungwa na nahodha wake msaidizi Jordan Henderson kwa shuti lililomshika kipa wa Swansea.

Wenyeji Swansea walitawala kipindi cha kwanza lakini wakashindwa kuzitumia nafasi kadhaa walizopata.

Liverpool wakacheza vizuri zaidi kipindi cha pili huku wakionekana wametulia zaidi baada ya nahodha wao Steven Gerrard kuingia.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic