March 17, 2015

 Polisi wa England wamemata kijana kwenye umri wa miaka 15 kutokana na kutupia mtandaoni maandishi yanayolenga ubaguzi wa rangi.


Taarifa zinaelza maneno hayo ya kibaguzi, yanamlenga mshambuliaji wa Arsenal, Danny Welbeck aliyefunga bao la ushindi wakati Man United ikilala kwa mabao 2-1 katika michuano ya Kombe la FA.
Kijana huyo ametupia maneno kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na Polisi wamesema wanaendelea na uchnguzi na kijana huyo kaachiwa kwa dhamana hadi Aprili 13, atakapoitwa kwa ajili ya kesi hiyo kuendelea kusikilizwa.

Mmoja wa maofisa wa Polisi wa Greater Manchester amesema wameanza kufanya uchunguzi huo wa maneno hayo ya kibaguzi kwenye mtandao wa Twitter.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic