March 27, 2015

Bondia Floyd Mayweather ameendelea kujifua kwa ajili ya pambano lake dhidi Manny Pacquiao watakayezichapa naye Mei 2 Las Vegas nchini Marekani.

Mayweather amekuwa busy na mazoezi akiendelea huku akibeba vyuma vizito.

Pia amekuwa akifanya mazoezi ya kuinua mwili mwake huku akionyesha kweli sasa yuko fiti.


Kadiri siku zinavyosonga mbele, Mayweather ambaye hajawahi kupigwa katika mapambano yake 47 amekuwa akiongeza kasi ya mazoezi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic