March 18, 2015



Lakini wataalamu wengi na hasa wachambuzi wa England wanasema kiungo mchezeshaji wa Real Madrid, Luka Modric ndiye anayechangia kumrejesha Bale.

Wachambuzi hao wanasema kama Modric atakuwa katika kiwango bora, basi Bale ana nafasi nzuri ya kung’ara.

Wawili hao, walikuwa wakikipiga Tottenham kabla ya kujiunga na klabu hiyo tajiri zaidi duniani.


Tokea Modric alipokuwa majeruhi tokea Novemba, mwaka jana. Bale alionekana kusuasua kiuchezaji na hasa ufungaji wa mabao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic