![]() |
MGAMBO... FULL TIME: Simba wanaendelea kupambana lakini tayari hali inaonekana ni tete. |
Simba wanaonekana kushambuliwa zaidi kwa kuwa wako pungufu.
Dk 66 Anaingia Peter Manyika kuchukua nafasi ya Said Ndemla
PENAAAAT Dk 63, Ivo Mapunda analambwa kadi nyekundu na Mgambo wanapata penalti baada ya yeye kumuangusha mshambuliaji wa Mgambo.
Dk 46, Simba wanamtoa Ajibu na nafasi yake inachukuliwa na Elius Maguri.
DAKIKA TATU ZA NYONGEZA; |
GOOOOOOO Dk 45 Ally NAssor anaifungia Mgambo bao safi baada ya kupiga shuti kali nje ya 18 huku Ivo Mapunda akiwa amezubaaa. Uzembe ulianzia kwa beki Kessy aliyekuwa amezubaa. Hilo ni Shambulizi la kwanz akali la Mgambo kwa kipindi chote cha kwanza.
Dk
35, Singano anamtoka beki anampa pasi nzuri Banda ambaye anapiga krosi nzuri
inamkuta Okwi lakini kufunga.
Dk 13 Okwi anaumia, kocha anataka kumtoa lakini Okwi analazimisha kuendelea kucheza.
Mechi inaendelea na kila timu inashambulia ingwa Simba wanaonekana kuwabana sana Mgambo.








Duuu!
ReplyDeleteBado mnaukimbilia ubingwa?