March 27, 2015

Mshambuliaji nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez ameshindwa kuikoa timu yake ya taifa ya Chile ilipokutana na kipigo cha mabao 2-0.


Chile ilishindwa kuonyesha uwezo wa kuifunga ikiwa ni mara ya kwanza timu hizo kukutana, mechi ikipigwa kwenye Uwanja wa NV Arena, St Polten nchini Austria.
 
Iran ikiongozwa na bosi msaidizi wa zamani wa Man United, Carlos Queiroz ilionyesha soka safi na kuwapa wakati mgumu Wachile hao.

Mabao ya Iran katika mechi hiyo yalifungwa na
Javad Nekounam na Vahid Amiri.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic