April 23, 2015



Kocha wa zamani wa Yanga, Tom Saintfiet ameamua kubadili muonekano wake wa “ubonge” na sasa anaonekana yuko fiti.


Saintfiet raia wa Ubeligiji amepiga tizi la uhakika akichanganya na diet na sasa amepungua kilo 21.
Amepungua kilo hizo 21 ndani ya wiki 11 na sasa muonekano wake ni tofauti.

Saintfiet aliyewahi kuipa Yanga ubingwa wa Kombe la Kagame wakati huo Said Bahanuzi akiwa mfungaji bora anaonekana yu fiti na mrefu zaidi kutokana na kukata kilo hizo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic