MESSI, NEYMAR KILA MMOJA ATUPIA BARCA IKISHINDA 2-0 LA LIGA BARCELONA IMEJIKITA ZAIDI KILELENI KWA TOFAUTI YA POINTI TANO DHIDI YA REAL MADRID BAADA YA USHINDI WA MABAO 2-0 DHIDI YA ESPANYOL, LEO.SHUKURANI KUBWA KWA LIONEL MESSI NA MWENZAKE NEYMAR WALIOTUPIA MABAO HAYO 'KAMBANI'.
0 COMMENTS:
Post a Comment