VIFAA MBALIMBALI KAMA NGUO, KOFIA, GLAVU VYENYE NEMBO YA BONDIA MANNY PAQUIAO VIMEUZWA KAMA NJUGU WAKATI VIMEANZA KUUZWA SEHEMU MBALIMBALI DUNIANI KUPITIA MTANDAO WA EBAY. MANNY ATAZICHAPA NA FLOYD MAYWEATHER MEI 3 KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI. PAMBANO HILO LINASUBIRIWA KWA HAMU KUBWA.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment