April 19, 2015


Kocha Mkuu wa Chelsea, Jose Mourinho amesema kikubwa anachokitaka ni pointi na si kutawala au kukaa na mpira muda mrefu.


Mourinho amesema kikubwa anachoangalia ni ushindi kwa kuwa Chelsea inahitaji pointi tatu kuliko kipingidi kingine chochote.

Chelsea iliyo kileleni mwa Ligi Kuu England imeongeza pendo lake la pointi hadi kufikia 10 dhidi ya Arsenal iliyo nafasi ya pili baada ya kufanikiwa kuidunda Man United kwa bao 1-0.

Hata hivyo, wageni man United walitawala mchezo na Chelsea ikamiliki kwa mpira kwa asilimia 29 tu.


“Sisi tunataka pointi tatu, si kumiliki mpira,” alisisitiza Mourinho raia wa Ureno.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic