OKWI ANALINDWA JAMANI ANGALIA ALIVYOWEKEWA ULINZI TAIFA LEO MABEKI WA NDANDA FC WAKIMUWEKA EMMANUEL OKWI KATIKA ULINZI MKALI KATIKA MECHI YA LIGI KUU BARA KWENYE UWANJA WA TAIFA LEO. SIMBA ILISHINDA KWA MABAO 3-0 HUKU MGANDA HUYO AKISABABISHA PENALTI, HATA HIVYO IBRAHIM AJIBU ALIPIGA NA KUPAISHA.
0 COMMENTS:
Post a Comment