April 12, 2015

AKA! MSUVA NA KIROBA CHAKE CHA MCHELE....TARTIBUUUUU...

Shabiki Ally Yanga, leo ametoa kali ya mwaka baada ya kumzawadia mshambuliaji Simon Msuva kiroba cha mchele.


Ally Yanga alimzawadia Msuva kiroba hicho chenye mchele takribani kilo 30 wakati mchezaji huyo akiingia vyumbani.
ALLY YANGA KABLA YA KUKABIDHI MCHELE ALIOINGIA NAO UWANJANI...
Msuva naye hakuonyesha makuu, alichukua kiroba chake na taratibu akaingia nacho vyumbani.

Shabiki huyo aliamua kuonyesha anavyofurahishwa na uchezaji na mchango wa Msuva katika kikosi hicho cha Yanga mbacho leo kimeitungua Mbeya City kwa mabao 3-1.


AKIMPONGEZA KABLA YA KUMKABIDHI MSUVA ZAWADI YAKE YA MCHELE...

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic