BAO MOJA LA CAVANI, PSG YAITWANGA AUXERRE 1-0 NA KOMBE LA UFARANSA MSHAMBULIAJI EDINSON CAVANI AMEFUNGA BAO PEKEE NA KUIWEZESHA PSG KUBEBA KOMBE LA LIGI. KOMBE HILO LINAKUWA NI LA PILI KWA KUWA TAYARI PSG NI MABINGWA WA UFARANSA MSIMU HUU.
0 COMMENTS:
Post a Comment