May 2, 2015

TIMOTH AKIMKABIDHI ZAWADI YA MPIRA MCHEZAJI BORA WA APRILI, EDWIN DICKSON.
Timu ya Boko Veterani imeendelea kuonyesha ni mfano kwa timu za wakongwe kwa kucheza kwa mafanikio mechi za kila mwisho wa mwezi.

Mechi imepigwa kwenye Uwanja wa Boko Ununio na baadhi ya wachezaji wakapewa tuzo.


Waliopewa tuzo ya mchezaji bora wa Machi na Aprili.

Pamoja na hivyo, kivutio kilikuwa kayika mechi hiyo ambayo ilikuwa ya kuvutia kwa pasi na soka safi kabisa.

Timu hiyo ndiyo inayosifiwa kwa kuwa yenye mpangilio zaidi na inayomiliki uwanja bora wa mazoezi jijini Dar es Salaam.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic