May 7, 2015

Kwa mara nyingine kiungo Frank Domayo alionekana tena akiwa katika jezo ya Yanga.


Yanga iliyomsaidia kupata umaarufu imefanikiwa bingwa na Domayo alionekana kama vile 'amerudi' nyumbani baada ya kuvaa jezi hiyo baada ya wachezaji wa Azam FC na Yanga kubadilishana jezi.

Walibadilishana jezi mara tu baada ya mechi yao ya Ligi Kuu Bara ambayo Yanga ililala mabao 2-1 huku mvua kubwa ikinyesha.

Ingawa wachezaji wengi walibadilishana jezi, Domayo ndiye alionekana kama vile kweli 'amerudi'.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic