May 22, 2015


Simba imefanikiwa kuongeza mkataba wa miaka mitatu na nahodha wake Hassan Isihaka.

Isihaka ambaye awali alielezwa kukataa kusaini akitaka apewe dau kubwa, jana amesaini mkataba huo mbele ya Rais wa Simba, Evans Aveva.


Kamati ya usajili ya Simba chini ya Mwenyekiti Zacharia Hans Poppe na Kassim Dewji ‘Gwiji’ ndiyo ilisimamia zoezi zima la usajili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic