|
AKIWA NA JEZI YA NORWICH.... |
Msanii maarufu wa muziki wa hip hop kutoka Marekani,
Snoopy Doggy Dog ameonekana kuwashangaza mashabiki wengi wa soka duniani.
Snoopy ambaye ni mkongwe katika hip hop hajulikani
anashabikia timu gani ya Engaland.
Achana na wakati fulani alionekana akiwa na jezi ya Barcelona, lakini akaja kuonekana akiwa ametinga jezi ya Man United, mara Norwich mara
Arsenal na nyingine kibao. Sasa huyu jamaa shabiki wa timu gani jamani? Eeh!
|
..MAN UNITED. |
|
.....BARCELONA.
|
...ENGLAND. |
|
|
....NORWICH TENA. |
|
....ARSENAL |
|
....CARDIFF. |
|
....LIVERPOOL |
0 COMMENTS:
Post a Comment