May 2, 2015


Yanga wako tayari kwa ajili ya mechi yao ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Etoile du Sahel ya Tunisia.


Kikosi hicho kilicho mjini Sousse, Tunisia kiko tayari baada ya kufanya mazoezi mepesi ya kupasha misuli, leo asubuhi.

Baada ya hapo, Yanga wakaangusha bonge la dua, kwamba wako tayari kwa ajili ya mechi hiyo.
Wanakutana na Etoile, saa 3 usiku kwa saa za Bongo na wanalazimika kushinda au sare yoyote kuanzia 2-2.

Hii ni kutokana na matokeo ya mechi ya kwanza ambayo yalikuwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic