YANGA YAIWAHI SIMBA, YAMSAJILI MALIMI BUSUNGU WA MGAMBO  YANGA IMEFANIKIWA KUMNASA MSHAMBULIAJI MALIMI BUSUNGU WA MGAMBO KWA KUMPA MKATABA WA MIAKA MIWILI. BUSUNGU AMESAINI MKATABA HUO MBELE YA KATIBU MKUU WA YANGA, DK JONAS TIBOROHA NA MENEJA WA KIKOSI CHA YANGA, HAFIDHI SALEH.
0 COMMENTS:
Post a Comment